Nyashinski
NIGHT SCHOOL
[Verse]
Yeah
Wako night school, wananistudy show nikipiga
Come through kuna maombitho time ikifika
Niku-light tu na kama iko mtu anauliza
Niko "Hi too" kaa mnairobi akisalimika
Kuongeza feelings kwa plan yu fanya akili inajam
Naingia venue na van, natoka venue na bag
Daily nacount blessings, hauwezi jua day yenye tables huturn
Na-rap na hunger ya upcoming
Ata kaa hapa ni me ndo nakaa mdhamini
Nani kaa mimi?
Chorus mambo mbaya, maverse mambo mbaya
Na bars na go harder than drugs
I am larger than life family
Wanaota vitu nishafanya twice
Au nilishapata chance ni vile nili-analyse value nikachorea
Kitu huangalii Mr. your favorite wants a picture with Shin Da Vinci
Siri nimeeka mingi, kwa hii Shin City
Tunaspeak in code lakini tunaelewana
Unajua me si wa kujaribiwa
Niheshimu utaheshimiwa, haribu utaharibiwa
Mjinga ndo upandisiwa
Finger ni ya kati kati kwa wale wanapinga
Najibanza chini ya maji nikipanga mikakati
T-shirt ni versace, reverse hatuеndagi
Mi saa nakula ka musician na si ju ya illuminati
Na si kukam kudilly dally ju kusota yu ni piss off
Ka inanice, raundi hii sichagui na price
Cheki vilе natupa madice kwa hii casino inaitwa life
Ulisema siezi rudi, si unafaa uapologise
I did it once, did it twice hio sitaacha uminimise
Na shift culture kila saa na move (Shin city)
Usiogope, au sio
Already juu ukona mimi hapa future ishaimprove (Shin city)