[Intro]
S2Kizzy Baby
[Verse 1]
Kwenye love niko fo fo fo
Umenidatisha wewe m to to
Napiga mbizi maji ya u go ko
Baridi unanipa jo to
Oh baby don’t let me go
Don’t let me go Aiiih
Najua dhamani yako
Just let me know, Aiiih
Just let me know
Mimi sitaki ubaki peke yako mama
[Pre-Chorus]
Aaah aah aah…
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah…
Ado ado mama ado ado
Aaah aah aah…
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah…
Eeeh
[Chorus]
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I’ve never seen before
Mama, mama, mama
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama
I’ve never seen before
Mama, mama, mama
[Bridge]
Iko kibindoni white, kibindoni
Iko kibindoni white, kibindoni
Iko kibindoni white, kibindoni
Iko kibindoni white, kibindoni
Aahh
[Verse 2]
Yani kama taa mama wewe umenizimaga (Iya nah)
Watu wanashangaa kitu gani mi nakupaga (Mwuaa)
Mizigo yote nimeshaitua
Nimefika mwisho wa reli Kigoma
Uzuri wako wote wanajua
Mtoto umenyooka kinoma
[Pre-Chorus]
Aaah aah aah…
Awabishi awakataiiii
Aaah aah aah…
Ah yani mi nyang’anyang’a
Aaah aah aah…
Sijiwezi mama sijiweziiii
Aaah aah aah…
Eeeh
[Chorus]
Kasura kako kanaumiza roho
Mama, mama, mama (Eeey yeeh) aah
I’ve never seen before (I’ve never seen before)
Mama, mama, mama (Aaah)
Kasura kako kanaumiza roho (Kanaumiza roho)
Mama, mama, mama (Aah aah aah) aah
I’ve never seen before (I’ve never seen before)
Mama, mama, mama
[Bridge]
Iko kibindoni white, kibindoni
Iko kibindoni white, kibindoni
Iko kibindoni white, kibindoni (Eeeh)
Iko kibindoni white, kibindoni
Aahh
[Outro]
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni (Eeeh)
Iko kibindoni waite, kibindoni