Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!
Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!
MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to
35% Off Yearly Plans • All
NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰
Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!
Start Watching Now
[Intro]
Mocco
[Verse 1]
Hello, habari gani?
Hello oh ooh, unaitwa nani?
Hello, uko gizani?
Hello, kuna tatizo gani?
Basi we nieleze
Walipo kaza nilegeze
You are so beautiful baby
Hauendani na mawazo mama (Noo)
[Pre-Chorus]
Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (Aaah uuuh)
Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo)
[Chorus]
Bado yupo yupo kwanza (Mmmh)
Bado yupo yupo sana (Eh, yeee)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza (No, no)
Bado yupo yupo sana (Eh, yeah)
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Bado, ah aah aah nah nah
[Verse 2]
Hana ulinzi wa moyo tena (Aaaahaa)
Wake uaminifu umekufa mazima (Aaaahaa)
Mapenzi yamefanya asile
Mapenzi yamefanya asilale
Chochote nachomwambia bure
Anaona nampigia kelele
Ila eti anashukuru Mungu alipofika panatoshaa
Na tena mzigo mzito wa mapenzi ameutua amepumzika
Yaani hataki tena
Bado mapema
Hataki tena
Vurugu za mapenzi zimemchosha
[Pre-Chorus]
Huwezi kushindana na moyo wako usijiumize (Aaah uuuh)
Mimi sio mbaya wako nisikilize (Nooo)
[Chorus]
Bado yupo yupo kwanza (Mmmh)
Bado yupo yupo sana (Eh, yeee)
Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeee)
Bado yupo yupo sana (Badoo)
Kushindana na moyo wake
Bado yupo yupo kwanza
Bado yupo yupo sana (Badoo)
Bado yupo yupo kwanza (Eh, yeeeiyee)
Bado yupo yupo sana
Anataka awe peke yake
Peke yake, peke yake, peke yake, peke yake