[Intro]
Ahhh
Mmmh, Mmmh
S2Kizzy Baby (Aah)
[Verse 1: Jux]
Nasema njoo njoo my boo
Nikupe kipendacho roho (Yeye)
Umenivuruga I’m so full
Niskize mimi nikupe show (oonaa)
Come come nikupe tamu tamu
Tupeane zamu zamu
Nateseka na love love
I love the way you shake
Njoo ghetto turest
Lemme test, ni balaa
Wana maneno shombo ni kinyaa
Mahaba niuwe kishujaa
Kwenye shida na raha
Vile utakavyo mi nafaa
Mlimbwende we ni kifaa
I feel so good the way you do
Nimenogewa nawe nipe tena round two
All eyes on you
Nataka niwe nawe tu baby
[Chorus: Tommy Flavour]
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
[Verse 2: Jux]
Sito kuchezea mama tutadumu
Kulinda penzi lako kwangu ni jukumu
Wapoteze watakupa sumu
Kisha tugombane mama una humu
Mapenzi matamu yako magumu
Sitaki nikosee kesho unihukumu
Mapenzi yote weka humu humu
Usije nipiga chini nitakunywa sumu gal
Nishakuwa na wengi ila
Wewe umeniweza
Sioni mwingine zaidi ya wewe
[Chorus: Tommy Flavour]
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them (Sugarcane Beibe)
[Bridge: G-Nako]
Kamua kamua, Kamua kamua
Kamua kamua, Kamua kamua
[Verse 3: G-Nako]
Chumba kama murder scene (murder scene)
Ugonjwa wangu nipe medicine (medicine)
Napack kucha I wanna again (Aahaa)
Nikusambaratishe bila deni (Aahaa)
Nibadilishie angle girl (gal)
Mali yangu sio magendo girl (gal)
Mjengo mpya sisi wageni
Ila majirani they know my name (my name babe)
Rock your body (rock)
Rock your body
[Chorus: Tommy Flavour]
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them
Lemmi be your sugarcane
Sweeter than them