[Intro]
Heyyyy Yee
Yeyi Yeee
[Verse 1]
Eh Nitazunguka dunia
Nitangaze sifa zako, Uzuri wako
Siwezi fanya siri
Wanibebeshe gunia
Na zote dhambi zako, Sumu yako
Imetawala mwili
[Pre-Chorus]
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu
[Chorus]
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Eeeehh
Oooh
Aaah
[Verse 2]
We ndo daktari
Mponya maradhi, Yani kama zali
Zali la mentali
Nakupenda kweli
Hilo liko wazi, Jua ukinitupa
Utaniachia simanzi
[Pre-Chorus]
Si Mimi
Ni akili yangu
Si Mimi
Ni moyo wangu
Si Mimi
Ni mawazo yangu
Si Mimi
Labda roho yangu
[Chorus]
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe
Mimi bila we
Mimi bila we
Mimi bila we
Si bora waniuwe