Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!
Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!
MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to
35% Off Yearly Plans • All
NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰
Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!
Start Watching Now
[Intro]
It's Bob Manecky
Aaah, aah
Aaah, aah
[Verse 1]
Nakumbuka sura yako
Nakumbuka jina lako
Nakumbuka tabasamu, uzuri wa pendo lako
Siwezi kuusahau
Ila naulaumu moyo, mmh
Kukupenda too much
Ndio kinacho niumiza, aah
Najua mazoea yana maumivu
[Pre-Chorus]
Nimetupa ndoano, ah-ah (Lalala)
Nimeambulia patupu (Lalala)
Inaniumiza bado
Ila nita-move on bado, nitakusahau baby oh
Oh, oh, oh
Homa si homa, baby (Lalala)
Hata nikilewa pombe hainiingi (Lalala)
Naondoa stress bado 'ile ki-komando
Nami nitapendwa bado
Bado, bado
[Chorus]
Baby, 'we
Nikipenda mtu
Huwa napenda kweli na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi yana maumivu, oh
Siachi tu
Baby, 'we
Nikipenda mtu
Huwa napenda kweli na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi yana maumivu, oh
Siachi tu
[Verse 2]
Mmm, yeah
Mapenzi kama maji, baby
Usipo kunywa, utaoga
Usitukane mamba, hujavuka mto 'jahazi likazama
Baby wewe
Chungu kimoja (Ah-ha)
Wapishi ni wengi (Ah-ha)
Chakula kikiiva (Ah-ha)
Kinaliwa na wengi (Ah-ah-aah)
Baby, baby, baby
Nitapata mwingine, aah
[Pre-Chorus]
Nimetupa ndoano, ah-ah (Lalala)
Nimeambulia patupu (Lalala)
Inaniumiza bado
Ila nita-move on bado, nitakusahau baby oh
Oh, oh, oh
[Hook]
Homa si homa, baby (Lalala)
Hata nikilewa pombe hainiingi (Lalala)
Naondoa stress bado 'ile ki-komando
Nami nitapendwa bado
Bado, bado
[Post-Chorus]
Baby, 'we (Baby)
Nikipenda mtu (Nikipenda)
Huwa napenda kweli na nabaki mtupu (Hey)
Nasahau mapenzi yana maumivu, oh
Siachi tu (Siachi, mmm, siachi, yeah)
Baby, 'we (Oh)
Nikipenda mtu (Mama)
Huwa napenda kweli na nabaki mtupu
Nasahau mapenzi yana maumivu
(Ma..., yeah)
Oh
Siachi tu
Siachi, siachi yeah
[Outro]
Siachi
Siachi tu
Mapenzi siachi
Siachi
Siachi