Vanessa Mdee
Kamasutra
[Intro]
Sauti Sol (Sauti Sol)
Vee Money on the track
Oh

[Chorus: Sauti Sol & Vanessa Mdee]
Leo kama- kamasutra mama (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra mama ye, ye, yeyee (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra)

[Verse 1: Vanessa Mdee & Sauti Sol]
Nitakupa kazi upande mlima, baby, yeah
Na siri zangu zote nitatoboa, yeah
So many things I want to do to you, my baby, yeah
Na siri zako mi' sitatoboa, huh

[Verse 2: Sauti Sol]
Selektah
I got something to make you better
Like the fire mi' napepeta
Like the fire mi' napepeta, eeh
Selektah (selektah)
I got something to make you better (better)
Like the fire mi' napepeta (pepeta)
Like the fire mi' napepeta (pepeta)
[Chorus: Sauti Sol & Vanessa Mdee]
Leo kama- kamasutra mama (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baby ye, ye, yeyee (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba, eeh, ooh (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra baba ye, ye , yeyee (kamasutra)

[Verse 3: Vanessa Mdee & Sauti Sol]
Chali wa Nairobi manzi wa [?]
Leo ni mahaba nakupatia
Rusha washa nari hamjam kare
Leo michuano [?] jamila
Na si marimari, hii bei kali
Cash Madam nakubalika
Mboga juu ya meza teleza kimrenda
Washa udi na kadhalika
Vanessa, I got something to make you wetter
Baby, let me kiss it better
Like the fire mi' napepeta
Selektah, I got something to make you rise up
Lemme back it up on you
Like the fire mi' napepeta


Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
[Verse 4: Sauti Sol, Vanessa Mdee,, Both]
Mapenzi yake [?] yanimaliza
Kiuno kama [?], baby, punguza
Tulishakubali wanafunzi, wewe professor wa kamasutra
Mapenzi yake [?] pachika (pachika) uno kama [?] , baby, tulia (tulia)
Bali wanafunzi mimi professor (professor)
Kamasutra
Mizani kama mimi naondoka nawe
Napiga mahesabu naondoka nawe
[?] kuondoka na wewe (wewe) (kamasutra}
Mizani kama mimi naondoka nawe
Napiga mahesabu naondoka nawe


Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama- kama- kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)