Ken Ring
Mr. Vigeti
[Intro]
Real talk eh! Kweli!

[verse 1]
Penye nia sikosi njia
Na mambo ikisomwa kweli mi sikutosi dear
Hawatoshi makali na plus hawatoshi beer
Homie skia, homie skia
Kila mtu anaulizia where Johnny be at? (sure)
Ni-ondolee mambo ya usoni biatch
Hatufanyi maswala kama form haisomi ishia
Hesabu wale walio tufanya mambo utaniskia
Tuna-deal na watu real plus ma-phony pia
Kwa kudra za Maulana ndio tunaishi
Family mob-tu wamelala bila dishi
Daily hustle machizi ng’ang’ana na mafisi
Form fit hamkosi
Kila mwisho wa mwezi
Hide and seek na landlordy
Kwani mother uliniachia laana
Huyu brother amechanganikiwa kwa sana
Bugia ma-prama!

[Chorus]
Kama kawaa
Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa
Ever ready kama battery zile za Paka Pawa
Machizi si-tushapagawa
Nusa kahawa
Ni hawa hawa
Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa
Ever ready kama battery zile za Paka Pawa
Machizi si-tushapagawa
Nusa kahawa
[Verse 2
Hata sijui ni blame uchumi
Plus ………kutoka kwa dame ni sumni
Siku hizi wale wanadungwa feh ni kumi
Uhuru manze skiza hii story
Watoto wadogo ndio wana akiza main glory (mbaya sana)
Huku waki-glorify uhuni
Look around you hakuna story ya uzuri (hakuna man!)
Sijui nani nita-point kidole
Mtu Fulani anakufa juu ya coins Kayole(imagine hiyo)
Ishi maisha ya kobole(ehe!)
Kumejaa asante ama my dear pole
Juu ya tupesa kadhaa unakatakatwa
Serekali ina-raid mitaa tuna-fuatwa fuatwa
Una-uliwa kisha u-tupwa kwa taka taka (Woiii!)
Mi mi nina piga magoti
Kaa unani-skiza apana kunipita Sir-Gody

[Chorus]x2
Kama kawa
Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa
Ever ready kama battery zile za Paka Pawa
Machizi si-tushapagawa
Nusa kahawa
Ni hawa hawa
Mr. Vigeti mi na kuwanga sawa
Ever ready kama battery zile za Paka Pawa
Machizi si-tushapagawa
Nusa kahawa