Diamond Platnumz
Katika
[Intro: Nahreel]
Yeah, yeah
No, no
(Nahreel on the beat)

[Chorus: Nahreel]
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh

[Verse 1: Nahreel]
Nina midadi kayarumba (we)
Kibao kata ukinyonga (ona)
Mfukoni namavumba (we)
Rungu ndicihi linasunta, eh eh eh
Yani bo bo bo bo bo
Kana nikoshaga roho, oh oh oh
Yani nasimama de de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo wo
Baby gal, dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
Zile za kibao kata (Secreto)
Baby gal, dance for me one time (Secreto)
Miuno feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
La la la la la la la la la
[Chorus: Nahreel & Diamond Platnumz]
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh (Mbrrokee)
Katika
Katika... eh (Aiih, Ruubudan)

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Yani katoto kandi
Kako ndi, ndi, ndi
Kamekazika yani ngi, ngi
Nyumba mbwi
Kako mbwi, mbwi, mbwi
Kana Misifa shangi, ngi, ngi
Nilikavizia kitambo (ah... eh)
Leo kamenasa chambo (ah... eh)
N'taakapakia na mgando (ah... eh)
Nikajegeje ka rambo (ah... eh)
Bumbai
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang’ombe
Yani eh eh eh eh eh
Kana nikoshaga roho, oh oh oh
Yani nasimama de de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo wo
Oya...
Oh, nabembea
Yani siwezi kutembea
N'checheme na chechemea
Yani hadi na legea
Aki
[Chorus: Nahreel]
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh

[Verse 3: Aika & Diamond Platnumz]
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu ng'ang’ania
Ndizi kwa nyama napata mchecheto
Nakuna nazi kwa mkongojo (ah... eh)
Naunga mchuzi wa sotojo (ah... eh)
Uno la rosti rojorojo (ah... eh)
Mikunjo fulani wabogojo (ah... eh)
Kibao kata tenteme tenteme
Kilingeni kuzama uchutame
Huwezipata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bedi kitanda, eh (kwa ghetto)
Nikachazeshe samba, eh (Loketo)
Na kalivyo na bodi kinanda, eh (Sepetu, oh)
Tunguli zimenibamba, eh (Mobetto)
Mama
[Chorus: Nahreel]
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh
Katika
Katika... eh