[Verse 1]
Agaah!
Ati niende kwa mganga
Ntoe doti za kanga
Ama nikufunge kamba
Ntadanganya mie eeh!
Aah!
Nyumbani nifuge mamba
Mara mlinzi kwa panga
Kuchunga usije danga
Uwongo nisikwambie
[Bridge]
Hhhmm!
Moyo wangu
Usiufanye njia ooh!
Ukapita
Ooh! nitaumia
Shamba langu
Wakanivunia Ooh!
Yote tisa
Ukanibeza na kukimbia
Tena unga ujengezi
Usitishe na sanaa
Ukaninyima malezi
Nikakosa hata raha
Aah!
Nikaanza kuvunja nazi
Kutwa kuchwa kafara aah!
Nililie kipenzi
Yakukunda Ooh!
Karaha
[Chorus]
Ooh!
Sijaona
SIjaona
Sijaona
Kama wewe
Hhhmm juwa mimi
Sijaona (Sijaona mimi)
Sijaona (Sijaona bado)
Sijaona
Kama wewe
[Verse 2]
Hhhmm Aaah!
Refa kapiga kipenga
Ronaldo punguza chenga
Kuku tulia kwa tenga
Mbwembwe tupa kule
Aah!
Na upunguze kujiremba
Wasije wakakupenda
Kuna warabu wapemba
Ukanisusa bure
Nisiwe napata tabu
Chemsha mawe
Kumaliza kuni eeh!
Kumbe kung'aa dhahabu
Kuichoma sio sabuni
Nishajipaga moyo
Wewe ndio mwisho wa reli
Basi jifunze choyo
Wasije nikejeli
Uwezo wangu wa toyo mie
Sijafikia meli
Acha wacheze loyal
Sie kwetu singeli
[Bridge]
Ooh!
Moyo wangu
Usiufanye njia ooh!
Ukapita
Sana nitaumia
Shamba langu
Wakanivunia Ooh!
Kesho wakaja kukuteka
Na matusi kunitupia
Juwa mwenzako mimi
[Chorus]
Ooh!
Sijaona (Bado mimi)
SIjaona (Mwenzio mimi)
Sijaona (Sijaona)
Kama wewe
Unajua mimi
Sijaona (Unajua mimi)
Sijaona (Sijaona mimi)
Sijaona
Kama wewe
[Outro]
Agah!
Hasa Mose Kunambi
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Agah Mkubwa Fella
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Agah!
Tiffah Dangote
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Agah!
Makame Fumbwe
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)
Alele (Alele Alee)