Diamond Platnumz
Baila
[Verse 1]
Hhhmm
Kama Unanipenda sana
Umaarufu weka Mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze Madale
Isiwe kesho madrama
Napigiwa simu na Tale
Hadi Insta natukanwa
Umeshaanzisha kwale

[Bridge]
Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

[Chorus]
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
[Verse 2]
Hhhmm
Muziki vita
Hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi
Tafadhali niombee
Na nyumbani visa
Ndugu zangu wazoee
Itaniumiza nafsi
Ikifikia musiongee
Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao
Tahadhari sana
Si unajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Oh na! na dada zangu mawifi
Chunga nyendo zao
Usipelekwe mlama
Wakikwambia kaniki mara chota nyayo
Jua mumewe nakwama
Aaah Ah!
Utamu wa Big g Ni kutafuna
Usimeze uroda
Ongeza tu bidii kunikuna
Sio kuniroga
Kunikomba zaidi
Pika nguna nitaleta mboga
Unipe na kabibi kwetu suna
Nishushie na soda
[Bridge]
Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

[Chorus]
Baila Baila Baila (Oh Bailando Oh!)
Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)
Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)
Baila mama (Bailando Oh!)
Baila Baila Baila (Baila kidogo)
Baila Baila Baila (Baila nione)
Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)
Baila mama (Bailando Oh!)

[Hook]
Hhhmm
Usiseme u love me
Then you lying
Usiseme u love me
Then you lying (aaaah!)
Usiseme u love me
Then you lying
Hhhhmm
Usiseme u love me
Then you lying aaaa (aaaah!)
[Chorus]
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila Baila Baila
Baila mama
Baila Baila Baila (Oh Baila)
Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)
Baila Baila Baila
Baila mama

[Outro]
Heheheh Obrigado