Naomba bae
Uniambie kama wanipenda,,,,
Nisije
Ng'ang'ania kumbe mi caretaker,,,,,
)I'll give you my hrt nichungulie
Popote na we
Nifurahie)×2
Usiponipenda nitapendwa na nanii....
Moyo wangu kwa nani?
Ukipendwa ni rahaa jamani..
Uliza nadia mukami.×2
Ooh my bebi ni we! Ni wewe
Ni wewe
Ooh my bebi ni we! Ni wewe