Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!

Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!

MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to 35% Off Yearly Plans • All NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰

Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!

Start Watching Now
Zuchu
Zawadi

[Verse 1: Zuchu]
Mon chérie 'je t'aime beacoup
Penzi lako gundi, nimenasa
Mon chérie, kama uchawi upo
Mganga wako fundi 'hasa hasa
Eh, mwamvuli wangu
Moyo umeufunika
(Wewe ndo)
Kiboko yangu
Unaejua pakunishika

[Pre-Chorus: Zuchu]
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako 'uchukue

[Chorus: Zuchu]
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
Pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wangu
(Ya Upendo)
Wangu, my love
(Instrumentals)

[Verse 2: Dadiposlim]
Oh, uooh, oh
Ma chérie, chérie
Mu ungiye baridi weni komeya
Mi uka makini
Matso yangu ye hu ono hu fumbariya
Zidisha ye zana
Bawe huni lisi yilikiki kazana
(Kazana)
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako 'uchukue

[Hook: Zuchu & Dadiposlim]
Njoo tucheze kompa (Kompa)
Oh, baby
(Mh, mmh, aah)
We Laizer wewe
Aah, yah, yah, yah, yah
Eeh, warere (Wakacha)
Wakacha (Warere)
Mh, mh, mh, mh, mh, aah
[Outro: Zuchu & Dadiposlim]
Baby, pokea (Pokea)
Zawadi (Zawadi)
Ya upendo wa...
Ya upendo wangu, my love
Baby, pokea (Pokea)
Zawadi, (Zawadi)
Ya upendo wangu
Ya upendo wangu, my love
Oh, my love