Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!

Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!

MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to 35% Off Yearly Plans • All NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰

Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!

Start Watching Now
Nandy
Yamenishika Remix

[Intro : Nandy]
Moja, LG
The African princess
Aaaah, haya yamenishika
Aaaaah, haya

[Verse 1 : Nandy]
Nahisi dalili nimenenepa mwili
Hata ngozi yangu inanawili
Wewe ndo kipenzi changu, kipenzi changu
Alonipa Mungu, alonipa Mungu
Furaha yangu nanena peke yangu

[Pre-Chorus : Nandy & Mocco Genius]
Baby, natamani nifungue moyo uone
Ilivyo ndani, eeeh
Kama ni thamani, mfano wako ufanane
Na kitu gani, mhhh

[Chorus : Nandy & Mocco Genius]
Because I love you
Baby, I love you too much, too much
I know you love me too much, too much
Aaah, haya yamenishika
Aaah, haya yamenishika
[Verse 2 : Mocco Genius]
Kama jenereta
Moyo wangu, unadunda, unanitweta
Mwenzako naogopa, aah, naogopa, aah
Mi naseleleka, yani kwenye tope naseleleka
Jamvi na mkeka kwako nimeweka

[Pre-Chorus : Nandy & Mocco Genius]
Baby, natamani nifungue moyo uonе
Ilivyo ndani, eeeh
Kama ni thamani, mfano wako ufanane
Na kitu gani, mhhh

[Chorus : Nandy & Mocco Genius]
Because I lovе you
Baby, I love you too much, too much
I know you love me too much, too much
Aaah, haya yamenishika
Aaah, haya yamenishika

[Outro]
Yamenishika, mahabaa
Yamenishika, mahabaa
Yamenishika, mahabaa
Yamenishika, mahabaa