Ehh haha
Eti naskia nyi hupenda kuchocha, sindio?
Acha tuchoche basi
(Big shout-out to Vinc on the beat by the way)
(Chorus)
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupa notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
(Verse 1)
Check it it's omollo once again na injili wanapenda
Other than rapport bado ni mwili ninajenga
Doba napiga buda mithili ya benga
Popularity imefanya nibadili mamrenga
Bad mind kisirisiri anatengwa
An omollo feature ni ka firifiri kwa demba
Cheki ule boy wa chili chili analengwa
Backup ya ma label ka Mekatilili Wa Menza
Ukijibizana mtaa itakudhuru
Ukibishana naku-tax ushuru
Mlibanja sana hamtaki Uhuru
Sahi imebamba sana wapi nduru
Ehh hatuendi maandamano
"Baba inta-maintain kanyo kanyo"
Mr president ongeza mwika tano
Na nyi wakenya lazma mkuwe na msimamo
(Chorus)
Kama huna noti na kuna dеm umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupa notice
Lakini umеgoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
(Verse 2)
Ndo upate views ubaki ndethe u may earn more
A Genge grammy tungeletewa na kansoul
Sahi kenya ni ka hakuna reggae ama dancehall
Ndo konshens ako ju ya ngwete hapo Sanford
We ball on a budget strictly
Hatupendangi burden sisi
Oyole ilifanya nijue ku-bargain fiti
"Free park" ndo only reason niko garden city
If they charge me na tailgate mr partel
Vibes tu hauwezi taka beef na cartel
I had tu-make a choice either streets ama cell
Ju mtaa sikuizi maboiz wana-snitch na lapel
The new definition of kidungi
Umejipin? Ehh wee ni fundi?
Wee ni gangster? Uko na kikundi?
Shut the fuck up bro-olundi
Hehe mna-glorify chocha
Mumearibu mziki mnafanya hii job haikai mboka
Hii story haikai proper
Boy child anakapitia coz sahi hatujui ka Tory atawai toka
Bloggers hawa-verify story
Tu all victims wako terrified sorry
Chocha imedu hii game ikae boring
Na nyi mpasho bitch i hope you die slowly- bombo
(Chorus)
Kama huna noti na kuna dem umenoki
Anakuuliza ka uko na moti, chocha
Rent hujakanja Landy ashakupa notice
Lakini umegoma hautoki, chocha
Forex unaosha bila copy, chocha
Ocha wanajua wee ni doki, chocha
Mbogi wanasema wee ni bosii, chocha
IG hauwezi cheza low-key, chocha
(Outro)
Buda kila kitu chocha
Chocha chocha
Kila kitu chocha
Chocha chocha
Aaaah