Khaligraph Jones
Sondeka Part 2
Eyoo ni DJ Shiti
Aka Kolokolo Munyanye
Na leo tunataka kusondeka
Tabia tofauti tofauti
Ambayo hatupendi kwa hii jamii
Tabia ya maslayqueen
Kula pesa ya wanaume
Hata ya wale wa mjengo
Mtu mzima kukojoa kwa matandiko
Halafu anawekelea watoto
Kutumia watu 'Please Call Me'
Na uko na iPhone, Shindwe!
Rixx, finya hiyo kitu(Haa, Shaka)
Usibishane na babu wewe!

Tunasondeka iyee, tunasondeka(Are you ready?)
Tunasondeka, tunasondeka
Na tuko tu Pacho kwani boss(Rixx Matatizo)
Tunasondeka iyee, tunasondeka(Ah Naiboi)
Tunasondeka, tunasondeka
Tunarekebisha
[Exray- Boondocks Gang]
Are you ready?(Nai Nai)
Are you ready?(Nai Nai)
Nikuje?(Hapana)
Nikuje?(Hapana)
Tunasondeka kwa charger hakuna socket
Si tu charge kwanza nishalipa token
Charger ya smartphone sina pin ndogo
Hakuna mangoko na hapa mi ndio jogoo
Niko na idea, chunga utaingia
Si rahisi uliza hadi Nadia
Mmmh mapunyeto saka una dhiki
Na mangeus wako ni mashabiki
Ikikataa there is no regretting
Tuna i-switch back to factory setting
Na mi ndo dawa kwa hizi factory zenyu
Nawaka ka star so mashawties wenyu
Wamenifuata mtaa, wanasoma menyu
Wamenipata njaa nadishi chakula zenyu
Leo nitaisondeka na hapa ndio venue
Chapati kalia mi nikicheza na ndengu
Onyesha hiyo mbegu, wee mi si kitabu
Ah siwezi someka, sipigi kavu
Ah siwezi chomeka(Boom)
Na bado naisondeka mpaka che
Naipiga na naipika ilie kama fe
Ah back-up the place kama mende kwa giza
Bless so royal, alikuwa na mikono ya miujiza(Riswa!)
Nice pretty face with a bami ya Africa
Leo ni kuisondeka kama mpira LaLiGa
[Fena Gitu]
Tunaisafisha mitambo iyee
Tukizipeleka Wordwide
Ah Naiboi fanya mambo
Yeah we pray for your long life
Fix it Naiboi
Wasanii mpaka lini? Kukaliwa chini
Our whole lives ooh no
Round hii tumekam kuwakomesha
Round this tumekam kuwasomesha
Tunasondeka, tunasondeka
Eeeh, domo domo mpaka lini?
Ah usibishane na nyanya yao, unaboesha!
Tukisondeka, Tunasondeka tunasondeka
Tunasafisha mitambo, Tunasondeka tunasondeka
Nai mpaka ng'ambo, Tunasondeka tunasondeka
Sawa bless them Kingston, Tunasondeka tunasondeka
Tunarekebisha!
[Benzema aka Alejandro - Ochungulo family]
Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi
Alejandro, fisi fisi fisi fisi fisi
Pima miti utajua ni ya mluja
Shot nakupea moja ka ya Drogba
Kinyama nyama itabidi umengoja
Kuna line na hujapiga hata order
Uliota na kitu inakaa ka nyoka
Haina macho lakini inakuona
Inapenda kuingia na kutoka
Inapenda joto saa ya mboka
[Shiko Femi One]
Kevo anadai ananidai na hana ndae
Eti alipe Uber, Tunasondeka!
Kwa DM wanakaza wananisend n***s
Waone boobs na mathutha(Ate what?)
Behind the scenes nimecarry alot
Napiga matot kwenye parking lot
Ah, mbele mbele nawapita na force
Sidigi nyuma niwe chumvi kama bibi ya Lot
Sikuli doh ni kusave niwai shamba Namanga
Kwa border ndani ya ndae si unajua luku ni pamba
Kwa rap we ni pekedo vile nimewabamba
Niite Femi Uno and you know vile nawafanyanga
[Mordecai - H_art the Band]
Tumependa sana mikiki na mambo ya dunia
Mambo ya kujaza maji ndani ya gunia
Tulia, vulia lazima kuyaogea
Ujana ni moshi ndio maana unavutia
Raha jipe mwenyewe
Juu hakuna wa kulinganishwa nawe
Ukitingisha kiberiti
Chunga tu kulipua baruti mama
Nia ni ile ile
Asilimia vile vile
Kuja nawa mbona uje tule leo
Watapiga vigelegele
Na kesho wakusulubishe
Lazima tuwarekebishe
Ndio maana
Tunasondeka, tunasondeka
Oooh ikileta shida
Tunasondeka tunasondeka
[V6 aka Visita]
Vruum! Gari ni biggy gurudumu(Wivu)
Hapo nyuma guza pumblu bum(Wivu)
Mwenye wivu ajichapa uchungu(Ni malaria uyo)
Piga umbu Doom!
Party namada, ka hunipati jo bila panty balaa
Basi kata ka nyama haina mifupa dada
Masomo niko sawa si nimewasoma ala
Ni satisfy, nikupe certificate haha
Ah-ah baby kamata madingo
Happy to be rumored I drove your ego
Na hivi ndo wataheshimu maandiko
Boy Naiboi ame ashame the Devil
[Khaligraph Jones aka Papa Jones]
Kwa social media unatutesa
We ni baller unatuthago
Vile umemako pesa(Tunasondeka)
Ati zako ni ma 5 star
Na mtaa bado we hulalia
Double decker(Tunasondeka)
Ati huwezi kula skuma
Umezoea chakula
Ya Ole Sereni(Tunasondeka)
Kumbe we ni client
Ile baze ya Nyaga
Chapo ndondo
Pia hukula na deni(Tunasondeka)
Ati juzi ulikuwa
Holiday Dubai
Sherehe na ni kaa
Si hatujui(Tunasondeka)
But niaje tena ulionekana
Nyama Kima ndani ya bus
Za kwenda Kitui(Tunasondeka)
Ati umeshika gari mbichi
Ka zile sisi huona
Kwa movie man(Tunasondeka)
Hiyo ni vako
Si we hubebwa na Mwangi
Ju najua uko nduthi gang(Tunasondeka)
Ati we na Uhuru
Mko related
So unataka tukuskize fiti(Tunasondeka)
Thats a lie
Ju labda msee anakujua
Ni Omwami ama Dj Shiti(Tunasondeka)
MCSK juzi wamentumia
Thao mbili soo tano(Tunasondeka)
So naplan kuwavuruga
Hizo peanuts hatutaki
Ero kamano(Tunasondeka)
Naiboi to the World
No Mpasho
Middle finger to the Paparazzi(Tunasondeka)
Kujifanya hautujui
Si ni ufala
Vijana muwache mihadarati(Tunasondeka)