Khaligraph Jones
Kamnyweso
[Intro: Khaligraph Jones]
Big shout out to Vince on the beat by the way
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso?
[Verse 1: Khaligraph Jones]
Hii ngoma nimefanyia maboy na madiva (Woo)
Upende usipende huwezi avoid hawa man***a (Jones)
Ukinipatia mboka siku enjoy namaliza
Manze ni Omollo jo na mtoi wa Hadijah
Na mi no need to prove no point for the media
Go ahead and light a joint for this feature (Shhh)
Rada sikutafta coins ni mamita
Na peng ting ka si Wambui ni Anita
Kanairo wamenibandika jina sonko
Kogalo massive, hii ligi mi ndio nacontrol
Odi dance sitambui sijui azonto
Na tumbler itashikwa aje bila Okonkwo?
Na kila nikichunisha debe wanaturn face (Woo)
Utadhani wameona manjege au masanse (What?)
Niko zabe juu ya veve na machampez
Haters nawapea headache vile narun place
[Pre-Chorus: Khaligraph Jones]
Nasema mi dakitari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tumbler wapi kamnyweso?
Kamnyweso, kamnyweso
[Chorus: Khaligraph Jones]
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
[Verse 2: Mejja & Khaligraph Jones]
You didn't know Okonkwo can spit another lingo
And I make it look simple
I'm a G in this shit, just living it up
I got many flows, let me switch it up
Umeshtuka mi sikai eh?
Na kizungu aki walai
Ni mwisho wa mwezi najidai
Leo nakunywa chupa sikunywi ndivai
Hio sherehe tunapiga place ya nguvu (Uh)
Mahali pombe inaserviwa na tunjugu (Yo)
Aki ya nani leo nikishika mutu (Ayy)
My chick, ataenda kuku
Lamba chupa ukilamba mtu
Tupa lugha kamata mutu (Yo)
Chuma nzuri hainanga kutu
Ayo Okonkwo, ebu roga watu
Uh, I keep it one hundred
Me and OG we blowing this money
Yeah, you know we run this streets
You know we killin this shit, level up
[Pre-Chorus: Khaligraph Jones]
Nasema mi daktari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda nikuparty 'cause this my life and my rules
Tumeshika mtaaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tumbler wapi kamnyweso?
Kamnyweso, kamnyweso
[Chorus]
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
Say, "Wapi kamnyweso?" (Wapi kamnyweso?)
Kamnyweso (Wapi kamnyweso?)
[Bridge: Khaligraph Jones]
Nasema leo, form yetu kamnyweso (Ayy)
Na kama zimekushika basi weka yako juu (Weka yako juu)
Nasema leo form yetu kamnyweso (Ayy)
Ka zimekubamba basi inua yako juu (Inua yako juu)
Woo!