Khaligraph Jones
LUKU
[Pre-Chorus: Kaligraph Jones]
Luku eey ah, yeah
Luku ni moto, luku ni safi
Nimetoka soko, nikashika mambati
So piga maphoto piga manjafi
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa

[Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa

[Verse 2: Kaligraph Jones]
Luku ni safi na luku siwachi
Umati inauliza mahali natoa hizi luku ni wapi
Saa zingine ni Turkey ju za duka sitaki
Saa zingine wathii ama Kariakor bora luku ni safi
Primo ilikuwa ni Toughees, tukiboni manati
Civo kapiga hands on na ma Sahara nikidunda maparty
Sai nikipiga marashi lazima ikuwe Warachi
Na mi sitambui mambono onyesha Fugazi kidole cha kati
Ka ka ka!
Luku ni safi nachoma ka pasi
Hii swaga ni classic inakuwanga true
Wao husema am lucky ju vile niko kazi
My friend hii usafi ni hali ya juu
Shati Versace, jinare na mbati
Jamisha kamati washow ni mafool
Mangeus hawataki but vile nawakata
Ni ka movie ya ngwati you know how we do
[Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto, luku ni safi
Nimetoka soko, nikashika mambati
So piga maphoto piga manjafi
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa

[Verse 3: Kattapila]
Vile luku ni moto si ni wasafi
Simaanishi ya Simba
Mi hukuja na leather imetoka Congo
Wananiita Mokili mobimba
Hii luku inafanya madem wa moshatha na Nairo wanataka mimba
Nazidi kuchimba wakitaka hio miti nakuja na Timber

[Verse 4: Kaligraph Jones]
Uh! Ju luku ni safi nimechafua baki ukidakua
Ngware niko Toi Market nikichambua swag za balaa
Decorazer na lami, sikupi salamu, yaani fresh kama gum
Fashion killer ni mimi they wanna become
Sichomi picha nikitoa album
Cheki hawa wanatry kudunga ka mimi
But mi ni wa kwanza adam
Siwezi kuwa wrong ka chini ni Nike
Labda nikiwa na Wakadinali manoti kwa long
Shingo ni icy yeah we taking it internationally
To to to, Somali caliber ni kali
Itabidi wapunguze hii pupa kama Fally
Pia waseti mali
Ju mi hurollingi na madem wa geti kali
[Verse 5: Donn J]
Luku ni moto drip inatesa ka mama wa kambo
Sijashinda Lotto nataka shory ka Talia Oyando
Luku imeketi, the swag 'My city they call me Rambo'
Buda sicheki vile mi hudunga ni kama sindano
Khali told me we gotta go get it
I told him my n***a you know how we do
Hii ni ya marapper wao hudunga
Mandula za tao na fujo na wanajidu
Mbogi ya drip haijafika bei na wanakazana (Wanang'ang'ana)
Bado ni sawa acha nichome nirudi kuchana
Ka ni kutema buda mi huwanga ni master
Mi huwanga bombo hata kushinda rasta
Mi ni disaster vile natafa tafta cash ni ka niko caster, actor
Buda naseti kimoja coz I am the man and I already told you
I am a soldier bitch boy
To get to my level you gotta be bolder

[Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa

[Verse 6: Steph Kapela]
Luku ni moto, luku ni safi
Piga mafoto kipaparazzi nimepiga pasi
Luku ni jazzy sura ya kazi
Design imepanda mpaka majuu natolewa na ngazi
Luku ya wera, cheki bado nawabeba ka kamagera
Shore amebeba ki Vera amezificha kwa dera
Ametukosea lakini human is to error
Msafi kihela lakini kiluku Omera
I'm so fly so fly
You know I be so high, you know I
I always get more life and more likes yeah
Alhamdullilahi Jah nimefurahi yeah ah
[Verse 7: Brit The Ruler]
I got the wet wet, I got the drip
Come dip in my sauce, so many flavours
I got them fly verse, you can trust me baby
I keep you wet all night
Have you up all night
Get the swag right lower Channel right
Gucci on the fly, you ain't harder
I'm your favourite drug, get you super high
Just don't fall in love, coz I ain't the one yeah
Lets keep it real, I'm loving the vibe
They are looking at us, coz you keeping it real
I can't even lie you give me vibes, give me feels
Your love is like summer breeze, I can't chill

[Verse 8: Ssaru]
Luku ni safi nijenge kasling tu, kwanza nipige kamboto
Na nilifika bei nika import ju huwanga sidungi za local
Huku nje napressure mangoko daily wanashinda wamekesha kwa soko
Kwa foot Dior utadhani naball, na sijasema niko msoto
Ukitaka kuflex unasonga na pace, ju luku napiga si kama the rest
Nikifika kwa baze wanarespect, ju vile mi nadunga utajua mi ndio guest
We cheki vibes si illuminati, venye nadunga nafanya unacatch
Fanya research buda relax, yangu inakuja na feel na touch
Ligi nacheza ya Messi, hakuna siku mi narudia jersey
Na kuwacha drip siwezi why? Ju mimi ndo mama mlezi
Uking'aria suit kishenzi eey jua mimi ndo mkurugenzi
Ajenda ya leo ni Fendi na tunapita na walio wengi

[Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa

[Verse 9: Boutross]
Walicheki luku ni moto, luku ni mbrrcha luku ni safi
Luku ilitoka kwa bunda, luku ni Nike, Luku Versace
Niliamka kama Omollo niliskia Omollo aliamka kama lightskin
Niliamkaga na headache ju niliskia mali ni safi
Cheki luku ni moto, luku ni mbrr, luku, luku ni safi
Walisema ati what nikasema ati what, wajue luku ni safi
Niko loud naipiga kilelele, hawa mafan wanapiga kimbelele
Ninapenda mangeus kilelele, niko juu ki Julius Nyerere
Oh yeah eh
Ati MPESA haijapiga the prrr bado hio mboka sitaki
Sai nacheza ki EABL mi nilisare za Waragi
Cheki hio renos vile iko true buda naongeza magadi
Eey luku ni, luku ni

[Verse 10: Lamaz Span KOB]
Saa zingine mi hupiga vitenge kufiririnda na madenge
Saa zingine mi hudunga mitumba na bado nateka mabaibe
Mi hata si Mbosso but luku Wasafi
Na ka ni mbonoko aii hata ndururu hupati
Usikuje kwa soko pia kama umesota
Hatuna masaa za kupima kagua
Hapa ni mboka napiga viproper
Hakuna kukopa so bidhaa nunua
Tupige mayelele wengine wololo
Ju ka ni luku tushaiua
Kama unakuwanga umepiga kifollow
Si ucheki maphoto hukuwanga kishua
Napiganga drip (Luku Luku)
Matchisha na whip (Vroom vroom)
Na kama hio luku haijatosha si nafananisha na kicks
Nikute na Bima Mbagathi luku napiga za wathii
Na labda nichokoze wathii, ju luku napiga ni safi

[Verse 11: Khaligraph Jones]
I wasn't going to kill'n it again
But part of me so I had to bring it back
Coz some of you don't understand Swahili
So pay attention just before you react
I know you be wondering what we be talking about
When we say "Luku ni Safi"
Luku is drip, Safi is clean, there you go
Now is you happy?
Feeling like a mac, oh baby
And the way I swag is too crazy
Feeling all my tattoos must drip drip
And a n***a never rap Fugazi
Chilling on my lap two ladies
People really digging how I move too lately
Coz I walk nice and I talk nice
Why you think I am doing this for
Fck You Pay me!!!
Wanna give a shoutout to my homeboy Kat
Don Boutross and my Homeboy Steph
And I can never forget my homegirl Ssaru
Britt how you do, y'all know we the best
And am too fly must stay lowkey
And when I pull Up they don see
With the ice on my neck
Dem no other n***a pull up
Than Omollo Papa Jones I'm a KOB

[Pre-Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto
Nimetoka soko
So piga maphoto
Cheki mangoto, luku ni sa sa sa

[Chorus: Kaligraph Jones]
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni sa sa sa