[Intro]
(Depo on the Beat)
[Chorus]
Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! We kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda! Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda! We kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)
[Verse 1]
Imebidi nijirushe kwa debe (Imebidi nijirushe kwa debe)
Hizo makura lazima nibebe (Hizo makura lazima nibebe)
RAO na Ruto wameingiza njeve (Kijana anasema wanataka kujua)
Omollo pekee ndo amesimamisha reggae (Omollo, Omollo, Omollo)
Kaa nakuboo, chukua wembe umeze (Meza!)
Na hapa sikuji ndio niwabembeleze (Kwenda!)
Swag imetii, imepandishwa ndege (Zoom, zoom, zoom!)
Nakashikisha, utadhani ni veve (Ooh! Ooh! Ooh!)
MCSK wanahitaji mateke (MCSK wanahitaji mateke)
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe (Kwendeni huko! Matako!)
Wasanii ndio mmeamua mtese (Wasanii ndio mmeamua mtese)
Kwenda! Pesa zetu mlete (Kwenda!)
Mi nitawakata kata hizo pembe (Mi nitawakata kata hizo pembe)
Wera hampigi, nyi ni wazembe (Wera hampigi, nyi ni wazembe)
Hakuna kuhepa, kwanza tujenge (Tupeeni hizo mapesa)
Rende ni Rong, mbogi ni genje (Rende ni Rong, mbogi ni genje)
Mavijana wanalia unenge (Mavijana hawajadishi kakitu)
Na bado mnafinyilia wagenge (Pesa iko wapi? We nilipe!)
Kwa saa hii tumegoma, wacha kaende (Wacha kaende, mimi sitaki)
Na siko solo, niko na kirende (Na siko solo, niko na ki-)
[Chorus]
Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! We kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda! Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda! We kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)
[Verse 2]
Mashonde kwa DM lakini sijibu (Sijibu!)
Juu najua ni jina unataka kuharibu (Haribu!)
Ukiachwa, wachika, wachana na wivu (Wachana na mimi!)
Na mimi Omollo, mimi sijibu (Omollo)
Heh, na kaa sikutaki nitakwambia "Kwenda" (Kwenda!)
Juu nikiwa juu ndio nyi hunipenda (Penda!)
Chorea, hii mbogi inaweza kutenda (Tenda!)
Na chini ya waba wako na agenda (Ih-hii-hii-hii!)
Nikiwa Kayole, utanipata kwa Proface (Proface, Proface)
Juu huko ndio mi hu-supply in doses (Whoop! Whoop! Whoop!)
Ngoma nauza, utadhani ni tokens (Tii-tii-tii!)
Hakuna teke,trust the process (Vroom! Vroom! Vroom!)
Na kaa ni collabo, utabonga na Franko (Franko! Franko!)
Amekuwa manager kutoka campo (Campo! Campo!)
BET nominee, buda na-run show (Omollo! Omollo!)
"Omollo unatesa, manze jo, come slow!" (Iyee)
Uh, nyi MCSK ni mafala (Kwenda! Kwenda!)
Uh, mnatupeleka hasara (Kwenda! We kwenda!)
Yeah, you better pay what you owe (Kwenda! Kwenda!)
Nasema nataka hio doh (Kwenda! Shenzi!)
Manze, tumechoka na curfew (Kwenda! Kwenda!)
Uhunye, jo, rada ni chafu (Kwenda! Kwenda!)
Si usikie kilio ya watu? (Kwenda! We kwenda!)
Ghetto, mbogi iko njaa tu (Kwenda! Shenzi!)

[Outro]
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!