Khaligraph Jones
Tuma Kitu
[Intro]
Hahahaha, OG
Tuma kitu, yeah

[Pre-Chorus]
Yo, kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!)
Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi)
Najaribu kusikiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma!)
Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three)

[Chorus]
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee, tuma kitu

[Verse 1]
Ay, yo, all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru
Headbad but siingiangi booth na manyaru
Leo ni Rangey, sitaki nuks za Subaru
Mi bazenga, swag nawapigianga look ya Gumbaru
Ndo nifike hapa, Amen, ni Mungu
Hii kitu huwanga ni tamu but again ni uchungu
I remember I wanted to work for NTV
But maybe pia mi ningechujwa kama Ken Mijungu
But mi ni rapper, nawapeleka na rieng
Na kaa mashini, mi huendesha manyien
Yesu ni Baba, sitaki mezesha jachieng
"Yes Bana" inachuna tukiveveka na Bien
Hatujaanza juzi, hii ni lugha ya zamani
Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani
So waambieni OG amefika
Na hii ni rhumba ya Kayole, hii si rhumba ya Japani, let's go
[Pre-Chorus]
Kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!)
Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi)
Najaribu kusikiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma!)
Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three)

[Chorus]
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee, tuma kitu

[Verse 2]
Ay, yo, nina issues kadhaa, nimefichia paparazzi rada
Na usiniite Brayo, afadhali Papa
Omollo toka Bondo, hapo shwari kaka
After nipate mchune ilibidi nisare fwaka
Na sijawahi ogopa kuwa na enemies
But after God, the only thing na-fear ni feminists
I hope I don’t get cursed for that
Don’t be surprised mkiambiwa, "This verse is whack"
Either way, niko wera, siwezi choka nichekwe
Niko hapa, niko kule, buda, mboka ni mbekse
Kakamega [?] Tanasha [?] Shikwekwe
Juu kaa form ina keroma, then I’m always interested
"Kuna deal inaivana, ikijipa nitaku-show"
Pereka hio lugha huko, we nilipe zangu doh
Hii ni language ya ma-broke, watakutoka ukisleki
So chorea kutoanishana kaa mwenyewe huchekeshi
Bomboclaat
[Pre-Chorus]
Kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!)
Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi)
Najaribu kusikiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma!)
Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three)

[Chorus]
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee, tuma kitu

[Interlude]
Zingri umesema wasanii wanajirombosa na look hakuna kitu (Nuttin!)
Ehh? (Kujirombosa nuttin!)
Look wanakoroga mbili tatu
(Mbili tatu alafu wanashikanisha, zinakwama)
Alafu wanapeleka kiatu kwa fundi
(Hahahahahaha!)
Look ya jana (Si ya leo)
Kwa hivo (Mtu asini-mark na look)
[Verse 3]
Nairobi kila mtu celebrity, bora uko fresh na ung'are
Utajipata Obinja kaa guest wa mkare
Na ukiwa na ex na amekataa ku-move on
You probably the next topic on Edgar Obare
Mayweather, champ crew, TMT
Flex mode, boy known, check TMZ
Diss me, mi nuh care, mi got keyboard
So just you gon' be up in your DM kaa DNG
Beat bumba, vile imefungwa, utadhani Pharrell
Neptune, boom! Twaff! Kitu safi malel
Nyasae achiel, mimi sikutaki, jaber
Your rapper boyfriend amebonda, hakuwa Khali Kartel
Ndio ukuwe rapper Kenya, lazima u-diss Papa
Then ungoje uone ka mbogi itaku-discover
Weka bidii, usiketi ukingojea feature
Acha kuwa desperado, unajichomea picha
Niko mayolo na ghetto, na angolo kwa macho
Unaeza ni-follow kwa IG, mi ni Omollo jabato
Kijana kutoka Bondo, nime-rest my case
But kaa ni chupa imenibamba, most def nai-chase (No)
Bado naendelea (lea), bars zinateketea (tea)
Kazi naekelea (lea), nani anamezeshea (Yeah!)
We ndio naongelea, tracks zenyu nakojolea
Kaa ni rap, siachi juu Kenya, mi ndio inategemea (Jones, n***a)

[Pre-Chorus]
(Sina pesa)
(Woo!)
(Achana na mimi)
(Niaje?)
(Iyee!)
(Kwenda!)
(Tuma!)
(One, two, three)

[Chorus]
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee, tuma kitu