Khaligraph Jones
HAO
[Intro]
Yeah, you gotta love it
Eyo whats happening not (Hao)
OG (Hao) Masauti Kenyan Boy (Hao)
Whats good? (Hao)

[Bridge]
Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene

[Chorus]
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)

[Verse 1]
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Yeah)
Ku appologise ia watu haujakosea (Preach)
Ka we ni msofti utasema wanakuonea (Why?)
Ka we ni mjanja utabidi umezoea (Now)
Watakutusi ndio u-catch na wacheke
Wakishakutusi mara that, hao wasepe
Udaku inapigwa na kasheshe
Ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke
Kukua celebrity gharama (Gharama)
Ju wakishakujua ni lawama (Lawama)
Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama
Sai Twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa Diana
Hakuna huruma siri ni kulenga tu (Kulenga tu)
Coz if it ain't don't kill you then inakujenga tu
Na bado kuna fans wanakupenda tu
Azziad usijali, hivo ndo vile kuenda boo
Si nyi hu-troll Simple Boy ka kila siku
But Kipchoge akivaa the same mnamsifu
Inauma kupambana na hizi issues
But brathe usijali we zoea hizi vitu
[Bridge]
Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene

[Chorus]
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)

[Verse 2]
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Why?)
Your downfall ndo mbogi huwanga inangojea
Leo watakuchocha vile uko juu unapepea
But kesho ka shetani watakukemea (Riswa)
Remember Esther Arunga na huzzy yake Hellon?
It's so sad wamefungwa, ju sai ni ma felon
Walitrend tukawacheka when they needed help (Why?)
Tukaangalia when they busy destroying themselves
Ni poa tuweke imani kwa Yesu
Woi Jimmy Gait si ye huona siku mrefu
Tumemtroll bila kujiuliza question
Like what if that n***a fell in depression?
Papa Denis alidedi tukamchangishia
Tuka-type Rest In Peace tukimpandisia
Ati tuko sad na tunajua vile alikapitia
We tu ni ku-troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia
Mulamwa ameshachoka amedai zii
Ju ya matusi toka Twitter mpaka IG
Mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (Kwenda!)
Buda OG huwa zogo shinda 5G (Staki!)
Mmefanya mpaka Pozee amewacha injili (Hahhaha)
Ameacha kuimba mangoma za Holy Spirit
Ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili
10 over 10 hamtaki sai mnatusi Willis
As if mmekuwa forced kutazama
Nyi ni fans in denial so of-course mnajifanya
Kukuwa celebrity kuwa ready for drama
Omba God akubless na self-esteem ya pastor Ng'ang'a
Na confidence ya Orie Rogo Manduli
Na will-power ya John Pombe Magufuli
And though wengi watasema ni kiburi
But that's the only way utawezana na hawa mabully
[Bridge]
Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene

[Chorus]
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)

[Outro]
Watakushow ati hauwezi fika mbali (Hao)
But ni wivu tu jo wamejaa makali (Hao)
Comment section wamejazana upuzi (Hao)
Lakini DMs same haters bado groupies (Hao)
Ukikafunga hivi waskiangi fiti (Hao)
Wanatamani kuishi maisha we unaishi (Hao)
So hata waki-hate haina ngori uko mbele (Hao)
Get a life n***a punguza kelele (Hao)