Wanasema pole pole ndio mwendo
Ati haraka haina baraka
Kweli tisa karibu na kumi
Methali zote haizimi saidimi
Naonekana wakati huu
Umeniacha kwa kweli boo
Wanipenda najua tu
Na imani hatuna kwetu
Lakini kwa sasa mi nakuwaza nifanye nini urudi kwanguuu...
If i told you i love you would you love me?
(Would you love me baiby)
If i told you i miss you would you call me?
Ukini uuuuuh!
Ukini aaaaah!
Ukini penda weeeh weeh
Hakuna mwingine kama weeh
Hakuna mwingine.eeeeh...!
(Uuh uuh
Hakuna hakuna)2
Kwenye vita kuna mshindi kwa mapenzi nani mshindwaa?
Kikulacho kinguoni mwako lakini kwetu ni nani adui?
Nakupenda wajua tu
Usamehe makosa yangu
Kifanya hivo mpenzi boo
Amani tarudi kwetu
Na mi niko hapa nitakungoja, rudi nyumbani lazizi wangu...
If i told you i love you would you love me?
(Would you love me baiby)
If i told you i miss you would you call me?
Ukini uuuuuh!
Ukini aaaaah!
Ukini penda weeeh weeh
Hakuna mwingine kama weeh
Hakuna mwingine.eeeeh...!
(Uuh uuh
Hakuna hakuna)2
Yah you're the one i asked for hakuna mwingine nataka
I prayed for a blessing
Either way nikapata
So now i promise to be
All that you wanted of me
Girl your my Queen
And it's only right i give you all that you need
Hun you always see see me I'm always drifting away
Menipee upendo kamili ure like myB and I'm your J
So for better for worse
I'm dedicating this verse
Just for you and to tell you that we pekee ndo na trust
And najua wengi watasema kwamba siifaai
Sisikize maneno coz hizo zote ni lie
Girl I'm losing your mind till the end of time
We was ment to be togetherso forever we rhyme
(Kweli mimi nakupenda hakuna mwingine ataniokoa...
Kweli mimi nakupenda hakuna mwingine atatuokoa...)2
If i told you i love you would you love me?
If i told you i miss you would you call me?
Ukini uuuuuh!
Ukini aaaaah!
Ukini penda weeeh weeh
Hakuna mwingine kama weeh
Hakuna mwingine.eeeeh...!
(Uuh uuh
Hakuna hakuna)2