Khaligraph Jones
Juu Ya Ngori
[Hook]
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee
Kama una ngori (kama una ngori)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Juu mi n'taku-cock-ia feh
[Bridge]
Ngoma zangu? (ngori)
Flow nayo? (ngori)
Nguo nazo? (ngori)
Ka-dame nako? (ngori)
Juu ya ngori (ngori)
Ati nini? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
Flow nayo? (ngori)
Swag nayo? (ngori)
Kila kitu? (ngori)
Kila kitu? (ngori)
Nairobi? (ngori)
254? (ngori)
Ei ei (ngori)
Juu ya ngori (ngori)
[Verse 1]
Ushajua vile unaeza kuleta ngori
Ukileta ngori 'uku ni ngori, jo
Una tabia za ki-shawty-shawty
Kesi na OG ni horrible
Morio, hukumbuki juzi ni nini ilifanyika kwa corridor?
Ulijaribu kuzua ngori kumbe nilikuwa nishakutoa pori doo
Sorry bro, hatuko kimoja
Saa mi niko category soo
Niko na akina Sarkodie, ka hauna copy then I just told you so
No worries though
Testimony imefanya nijue Sir God msoo
90 percent of you rappers bado mnazimwa na shorty ka Noti Flow
But note ukidai kigongi combi kuja na packo ya condico
Nairobi knows
Vile niko na mapepo nahitaji maombi, boss
Kila siku man, I'm on me toes
Ndio reason mi hufuatwa na horny hoes
My life is like a movie (wooh!)
Wacha niwapatie chronicles
So stay on your lane ka Tory 'cause
Usipo utapigwa makofi bros
[?] i-nosebleed ibaki imekuwa ni kesi ya korti-ko
But pro ni pro
Form ni-show, ulidhani itakuwa impossible
Instead of ku-type kwa simu we nitafute kama una ngori, pthoo!
[Hook]
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (rgaah!)
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (iyeee)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Juu mi n'taku-cock-ia feh (brrrrr!)
[Bridge]
Ngoma zangu? (ngori)
Flow nayo? (ngori)
Nguo nazo? (ngori)
Ka-dame nako? (ngori)
Juu ya ngori? (ngori)
Ati nini? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
[Verse 2]
Yo, kama una ngori (kama una ngori)
Usichoche kwa Twitter na Insta story
Name a location nikuje katambe
Twitter fingers si tunajua ni boring
Kama una ngori (kama una ngori)
Tukachachishe mateke na ndondi
Ka ni ku-diss mliona ni nini nilifanyia Vera na Eric Omondi
Kama una ngori (kama una ngori)
Tukikutana usijifanye holy
Ju n'takuteka mkia uporwe
Na wallenje umeseti kwa koti
Kama una ngori (kama una ngori)
Hakikisha umetembea na mbogi
Ju wale kiawa wananitambua
Si wale hu-dance hizo ngoma za 'Odi'
Shine on, nimepita na glory
Ju huwanga napiganiwa na ma-shawty
Nipate Mollis, mimi na Mollis
On the purple kama Francis Atwoli
Hapa ni teke, hakuna cha slowly
Mi sina time kama mbota si Rollie
Nikisema niko na kimuthongi (brrrrr!)
Ujue si challenge ya Kobi
Shinda kwa slang ya tonje mbono
Tunawaingiza na hii oriji
Si ndio hupita na vibeti kwa mkono
Si ndio huongelewa daily kwa TV
Si ndio ma-con wa Tao
Pata potea na base ni stage ni ya Bangu
Supplier wa nyama ya paka mlikuwa mnaekewa kwa sambu
[Bridge]
So kama una ngori jua ni akina nani una-deal na wao
'Cause none of my n***as'll keep it a hundred
Zetu ni ma-bills za thao
So before muulize nani amekafunga
Kwanza mjue nani amevunja rekodi
Ju hizo pang'ang'a za kuji-compare na mi haziwezi
Nyi ni ma-todhi
[Hook]
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (rgaah!)
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (iyeee)
Kama una ngori (kama una ngori)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Juu mi n'taku-cock-ia feh
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (rgaah!)
Kama una ngori (kama una ngori)
Kuja na mbogi gathee (iyeee)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Mi sina worry (mi sina worry)
Juu mi n'taku-cock-ia feh (brrrr!)
[Outro]
Ngoma zangu? (ngori)
Flow nayo? (ngori)
Nguo nazo? (ngori)
Ka-dame nako? (ngori)
Juu ya ngori? (ngori)
Ati nini? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
Ngori ngori? (ngori)
Flow nayo? (ngori)
Swag nayo? (ngori)
Kila kitu? (ngori)
Kila kitu? (ngori)
Nairobi? (ngori)
254? (ngori)
Ei ei? (ngori)
Juu ya ngori? (ngori)
Ha!