Khaligraph Jones
Make Babies
Ehee
OG
Nia yangu unajua juu ushanifahamu
Napenda yako figure urembo wako na nidhamu
Asilimia mia moja nikisema you are the one
We can make a God and we can make a son
Course we've been dating and I've been anticipating
But when you gone give it to me

Girl I'm patient now I be tired of waiting
Let me introduce you to it
I'm sure unajua mama
Wala ninakua mdama
Ila wakati imewadia wacha kunikazia