Khaligraph Jones
Chali Ya Ghetto
wahenga walisema kizuri hujisell, na kibaya hujitembeza
so I be doing it well, ndo niweke chakula kwa meza
you thought I was faking an l, but me and my team we never

So now i be keepin it real, mpaka waniweke kwa jeneza
hii hustle ndo bado nachapa, so hapo ndo bado utanpata
si vako ni jasho imefungwa milango ndo sahii collabo matata
nahamisha matha Kayole, mi nampeleka Runda
siz ameshamada kole, na mi nishabai kanyumba
ni hizi mangoma natunga, ni vile matime hubidi
nachanganya rap na rumba, naiweka mpaka na mugithi
nipige video muone kwa tv, nishike Nairobi pia na jiji
akili ni nywele na zangu wacha tucompare, tuona nani gwiji
buda alidedi akaniacha solo, kashindwa njia gani ntafollow
nikaanza kuslang makoro, nikaanza kuvaa magoro
nikaacha kujam na sorrow, nikaanza maslang za yolo
nikaanza kuhang na Collo, nikaanza kukam na mchoro

(Chorus)
Nishalala njaa mvua jua lanichoma… aaaaaah
na kunyanyasika kwa mtaa daileiyeiye… aaaah
sichoki kutafuta nami mola ataniona… aaaaaah
hata nikisota ntazishika one dayiyeiye… ohnanana!!
eeeeeh chali ya ghetto eeeh… oh nanana!!
kufika juu inafaa ujitahidi, mziki kazi kw-ngu inanfaidi
so i dont care what they claim im here, this what i do when i hold it down for my city
tabidi wajue ni si ndo mabigi, and am feeling sorry for those who say ati usanii hailipi
kila siku ya wiki napiga mziki, ju ishanipea kicki
na mi sikufichi mi siridhiki, mpaka mali nimiliki
so nataka manoti zijae, kwa poti nijenge maploti
ju mimi ni star
Dodoma, Nairobi nilipishe kodi Nakuru to Moshi, Malindi to DAR
hata ka hunitaki we! ombi langu ni we uwe na happy day
hapa mambo ni safi we, chuki kwani itakupeleka wapi we
so, the og just roll up, with a couple n***az and soldiers
n-body cant control us, we blowing over them borders
cant stop until its all over, wait a minute… hold up!!
them praises go to Jehovah, them praises go to Jehovah
(Chorus)
nishalala nje mvua jua lanichoma… aaaaaah
na kunyanyasika kwa mtaa daileeiyeiye… aaaaaah
sichoki kutafuta nami mola ataniona… aaaaaah
hata nikisota ntazishika one daiyeiye… oh nanana!!
eiyeeeeh chali ya ghetto… eeh… oh nanana
eiyeeeeh chali ya ghetto… eeh… oh nanana