Khaligraph Jones
Toa Tint (Mask Off Cover)
[Intro]
Ay, have you seen Khaligraph?
That n***a looks like he... he done bleached his skin
What do you think, man... like
He looks crazy
Too much make up maybe?

[Hook: Khaligraph Jones]
Toa Tint, Khali ametoa tint (...is you serious?!)
Toa Tint, Khali ametoa tint (...is you for real?!)
Mask off, he got that mask off
Mask off, he got that mask off

Toa Tint, Khali ametoa tint
Toa Tint, Khali ametoa tint
Mask off, he got that mask off
Mask off, he got that mask off

[Verse 1]
(Check it)
Story iko kwa mitandao, ati nakaa ka Defao
Ati nimetupa mbao juu sura ni rangi ya thao
They calling me de Adi Bleacher
Juu ya filter mi huweka kwa picha
But as long as hii biz inajipa
Mi sijali na stori za sifa
Nime-bleach hadi ngoma natoa
Nime-bleach hadi cladi navaa
Nime-bleach hadi ndai naendesha
Nime-bleach hadi mbogi ya mtaa
Only thing sija-bleach ni mikono
Juu itazidi kuwachoresha giza
Mi ndio bully hupiga hawa ma-mono
Hawa ma-rapper wamewekwa na ma-diva
Juzi nilikuwa raundi Dubai nikapatana na Fally Ipupa
Akani-show nywele weka dye na sura upake mafuta
He told me that shit come with consequences, so be ready for some action
I told him I don't give a fuck n***a, I wanna be Michael Jackson
So hii mbogi ina chuki sahii eti wana-try kuni-crucify
Eti nimekuwa mushy-mushy aii, eti juu nimeanza kuvaa suti sahii
Boy mjanja toka Eastlando, mtaa yangu inaitwa Gaza
Nilianza bleaching tangu ki-tambo, so mi na-shine ka mwangaza
So naweza-turn to Vera Sidika, lakini hamtoshi hii talent (never)
Or maybe get a sex change lakini bado hamtani-challenge
Siku hizi mziki zangu digital, tattoo nazo pia visible
Utachizi ka hujui though hizi ndio hype si hupenda, unaweza uliza Willy Paul
We keti hapo uki-study picha
Admiring all the new Khali features
I think selfies sa zipande bei
For a photo with me sahii mi nalipisha
So go ahead call me Vybz Kartel, ukitaka pia Adi Bleacher
Or Vera Sidika wa rap as well, it doesn't matter manze kazi kwisha
Subaru sa nimeshakinda, nime-upgrade kwa Rangee
Si hiyo ndio form ya ma-light skin? I'm very sorry ka hunipendi
Since story za bleaching zianze, the whole country inaongelea
I figured I'm just a big deal so performance fee naongezea
You bloggers should be very grateful, coz of me now you're hired
Coz if I didn't give you a story then right now you'd be fired
Mi si Papa Jones, mi ni Papa Wemba, ama Madilu, ama Kofi
Mi ndio rapper don na wananipenda, sa mi naji-do juu hawatoshi

[Outro]
Damn, manze hebu cheki hawa wasee buda yaani...
Wananichekesha tu vibaya sana
Ati Jones mara ooh Defao...!
Mara sijui Jones nini, buda yaani ju ya hio story sasa... Nime-bleach
Na nime-bleach hadi haga, nime-bleach hadi balls
I done bleached everything, man
I done bleached my studio Blu Ink
I done bleached my whips
Everything is bleached out bruh (laughs)
Alafu nyi' ma-rappers msicheze na mi, n'tawachapa vibaya sana
Sana sana we mwenye umeisha fashion we, unajijua... Hautajwi leo
Eeh tupatane na huko hivyo buda
1960, Respect the OG's, n***a!
Papa Jones... Buda yao
Endeni mkaambie hao wasee waweke lighting yao vizuri bana
Si ati ni mimi ati sijui nini nini...

[Hook: Khaligraph Jones]
Toa Tint, Khali ametoa tint (...is you serious?!)
Toa Tint, Khali ametoa tint (...is you for real?!)
Mask off, he got that mask off
Mask off, he got that mask off

Toa Tint, Khali ametoa tint
Toa Tint, Khali ametoa tint
Mask off, he got that mask off
Mask off, he got that mask off