Welcome to MyBunny.TV - Your Gateway to Unlimited Entertainment!

Enjoy 6,000+ Premium HD Channels, thousands of movies & series, and experience lightning-fast instant activation.
Reliable, stable, and built for the ultimate streaming experience - no hassles, just entertainment!

MyBunny.TV – Cheaper Than Cable • Up to 35% Off Yearly Plans • All NFL, ESPN, PPV Events Included 🐰

Join the fastest growing IPTV community today and discover why everyone is switching to MyBunny.TV!

Start Watching Now
Nviiri the Storyteller
Mae Wendi
[Intro]
(Mmmh)
(Mmh, mmmmh) Sol Generation
(Oooh) Nviiri, baby
The Storyteller, ayy, ayy (Ooh, oooh)

[Verse 1]
Acha nianze kwa kutoa shukrani kwako
Malaika amependa binadamu, mimi
Na ni nani angewahi dhani nitakuwa wako
Na wewe wangu, mimi, iyeh, iyeh

[Pre-Chorus]
Si kawaida pendo la kweli kujipa
Ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
Si kawaida pendo la kweli kujipa
Ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh

[Chorus]
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wеndi

[Verse 2]
Umenigusa roho, umenifanya kamili
Haya mapenzi nimеamini (Mayo, mayo, mayo)
Naomba nisije kuvunja roho
Naomba tusije badili tulivyo
Tubaki hivyo
[Pre-Chorus]
Si kawaida pendo la kweli kujipa
Ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata
Si kawaida pendo la kweli kujipa
Ni wengi wanaitaka, sisi tushaipata, oh

[Chorus]
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi

[Bridge]
(Mayo, mayo, mayo, mayo)
Umenigusa roho
(Mayo, mayo, mayo, mayo)
Umenigusa roho
(Mayo, mayo, mayo, mayo)
Umenigusa roho
(Mayo, mayo, mayo, mayo)
Umenigusa roho

[Chorus]
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi
Mae wendi, oberana, obera mae wendi