Kay-O
CHORA
[Intro]
Jina langu jimbi
Hebu liandike moyoni [K.O]
Tena ugamishe na gundi [Sultan]
Usiku niote ndotoni [001]

[Verse 1: K.O]
Vidze vino rino goma ra mame je taime [ayaya]
Sije kwenye shimo penzi letu lizame nitablame
Like father like son, msupa usijali kwetu 001 [ona na na]
Kipi hakiwezekani, niko radhi nikope pikipiki kwa jirani
Na huku kwenu Marekani kuna mabishoo
Maana kila mwanadada ananichekea
What they don't understand they never know
Wasije wakakerewa tunachongea
Baby girl live and die home in Africa
Jirembeshe jidai na kadhalika
Ukiwaona Masai kururukaruka usishangae zoea
Mahaba ya kimombo,mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Hebu lifungue fundo nilifumbue fumbo
Babu kiji mabumbumbu koleza midundo nyundo

[Chorus]
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni [Chora]
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni aiyaa
[Verse 2: Femi One]
Niko Pwani ndo mana penzi limefua dafu
Busu mia moja kwa lips na shavu[mwaah]
Mapenzi yamenipiga k.o but it’s okay it's okay juu naskia raha tu
Nakufeel vile we hunifeel aisee
Hii chemistry ni real na sio the same
Hata after hizi dooh makiki na fame
Jua mapenzi yangu kwako bado kemkem
East to Coast na mahaba ni ya 01
Femi one ndio main hakuna another one
Abadan fore sitakusare
White dress kando ya beach tukimarry
Na ukipiga magoti nitasema I do
Pale caption insta story my boo
Hii ni one love baby hakuna mapart two
Jina yako nimechora kwa roho kitattoo


[Chorus]
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni [Chora] aiyaa
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni aiyaa
[Bridge]
Aaaaaaah wossa ish
Aaaaaaah wossa ish [ish]

[Mahaba ya kimombo,mtoto we ni chombo
Bingiri bingiri jikunje kama kamongo
Hebu lifungue fundo nilifumbue fumbo
Babu kiji mabumbumbu koleza midundo nyundo]

[Chorus]
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni [Chora] aiyaa
Chora jina langu jimbi [Chora]
Hebu liandike moyoni [Chora]
Tena ugamishe na gundi [Chora]
Usiku niote ndotoni aiyaa

Grand master teknixx