[Intro: Otile Brown]
Ooh
Ooh
Mm
Vicky Pon Dis
[Verse 1: Otile Brown]
Kupendwa ni baraka
Uwe masikini au tajiri
Mwisho wa siku, ushindi mkubwa, furaha na amani
(Ah, ah, ah)
Kupendwa ni kwa neema
Kuna waliojaliwa mali
Ila ndio sasa, wamepungukiwa mapenzi
[Hook 1: Otile Brown]
Niamini, baby
Mimi ni wako
Kwako nashikamana hivyo
Niamini, baby
Mimi ni wako
Kwako nashikamana hivyo
[Chorus]
Asante
Asante
Kwa kunipenda (Kwa kunipenda)
Asante
Asante
Kwa kunipenda (Kwa kunipenda)
Mm, mm
Mm, mm
Mm, mm
[Verse 2: Rayvanny]
Nimechoka kumficha (Kumficha, eh, eh)
Acha leo mumuone
Baby wangu ndio huyu
Ndio huyu, ndio huyu, ndio huyu
Nimeweka na mapicha
Mitandaoni mmuone
Baby wangu ndio huyu
Ndio huyu, ndio huyu, ndio huyu
Nimeona wengi, siwataki baby
Nakutaka wewe
Nimeona wengi, siwapendi baby
Nakupenda wewe
Oh, hey
Ai
Urembo uko high
Ukiongeza make-up uta multiply
Why? Mai
Mwenzako na 'die
Ulivyo mzuri na kuoa, wallahi I don't lie
Mmm
[Hook 2: Rayvanny]
Niamini, baby
Mimi ni wako
Kwako nashikamana hivyo
Mm
Niamini, baby
Mimi ni wako
Tusiache pendana hivyo
Oh, oh
[Chorus]
Asante
Asante
Kwa kunipenda (Kwa kunipenda)
Asante
Asante
Kwa kunipenda (Kwa kunipenda)
(Instrumentals)