Harmonize
Inde
[Intro: Dully Sykes]
Wasafi
Haha
Ayo Lizer, handsome, Prince Dully Sykes, brotherman, oya
Harmonize
Wasafi Records

[Verse 1: Harmonize]
Si sura tu, bali shepu na tabia, alivyo barikiwa ah, Inshallah mola amemuumba
Mie roho juu, akiniangalia, 'ah, moyo unatulia
Ah, ni mzuri [?]

[Verse 2: Dully Sykes]
Ay, I seh, "hi", (Hi), kwanza nafurahi, kabla hujanipa mambo, nipe kikombe cha chai, nitajidai
Huku verify bila shy, my, 'mamalai mwana wa Maasai

[Pre-Chorus: Dully Sykes]
We nipe bila kipimo, macho mpaka visigino, nikumwagilie wino, yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimo, macho mpaka visigino, nikumwagilie wino, yangu sio mbilikimo
He-he, he, Mbwooke

[Hook: Harmonize]
Ah, akiniona anacheka, 'eh, anacheka
Anadeka, 'eh, anadeka, (Ah, ah, akiniona), anacheka, 'eh, anacheka, anadeka, 'eh, anadeka

[Chorus]
Inde mama, inde, inde mama, inde
Inde mama, inde, indе, inde morning
Inde mama, inde, indе mama, inde
Inde mama, inde, inde, inde morning
[Instrumental Break]

[Verse 3: Dully Sykes]
I say la-la-la-la, kiuno chako propeller, body yako umeivisha dera, mzuri mpaka una kera
In the morning, unanipa bila shaka, mwingine hapana taka
Kiunoni, baby wacha mashaka, mie hoi nyaka, nyaka
Mwingine sioni, una utamu wa Bata, natafuna nnavyotaka
Kiwanja ndani, Le Patio Arusha ama twende tuka-ball Tabata?

[Pre-Chorus: Dully Sykes]
We nipe bila kipimo, macho mpaka visigino, nikumwagilie wino, yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimo, macho mpaka visigino, nikumwagilie wino, yangu sio mbilikimo
He-he, he, Mbwooke

[Hook: Harmonize]
Ah, akiniona anacheka, 'eh, anacheka
Anadeka, 'eh, anadeka, (Ah, ah, akiniona), anacheka, 'eh, anacheka, anadeka, 'eh, anadeka

[Chorus: ]
Inde mama, inde, (Oh, inde), inde mama, inde, (Oh, inde), inde mama, inde, inde, inde morning (Woo, woo, woo, woo, woo)
Inde mama, inde, (Oh, inde), inde mama, inde
Inde mama, inde, inde, inde morning
(Oh, oh)

[Hook: Dully Sykes]
Yaani si mchoyo, unanibamba mi nakwisha kabisa
[Drop]
Kama kibogoyo, unavyo ilamba na (?)
[Drop]
[Post-Chorus]
Inde mama, inde, inde mama, inde
Inde mama, inde, inde, inde morning
Inde mama, inde, inde mama, inde
Inde mama, inde, inde, inde morning
Chunga pesa, day worker, worker, worker, worker, worker
[Drop]
Worker, worker, worker, worker, worker, worker, worker
[Drop], worker, worker, worker, worker

[Instrumental Outro]
Ayo, Lizer