Harmonize
Usemi Sina
[Verse 1 : Nandy]
Utadanganya kusema wengine huwawazi
Ukweli ni kwamba wanaume mmeumbwa vichwa wazi
Mpaka nakosa majibu
Hili penzi lishachanganywa na wivu
Mama kanifunza utulivu
Ananinisitiza usikuvu, baby

[Bridge : Nandy]
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini ?
Uko radhi we uuumie
Furaha nipate mimi


[Chorus : Nandy]
Usemi sina, sina, sina
Cha kusema sina tena, usemi sina
Usemi, sina, sina
Usemi sina, usemi sina
Cha kusema sina

[Verse 2 : Harmonize]
Mapenzi ni maua
Moyoni mwangu yanachanua
Yalishawahi takaga kuniua
Usishangae najishaua
Nilipoteza hamu ya kula
Ndo mana kila anachonipa nakula
Iwe papa ama chura
Nakula ndo kisha nakula
[Bridge : Harmonize]
Sa kwanini nisitulie
Mfano unaninyima nini ?
Uko radhi we uuumie
Furaha nipate mimi


[Chorus : Harmonize]
Usemi sina, sina, sina
Cha kusema sina tena, usemi sina
Usemi, sina, sina
Usemi sina, usemi sina
Cha kusema sina

[Outro]
It feels like I'm falling in move for the first time
I never seen love like this before
Nakosa maneno
Konde Music Worldwide
Konde Boy, call me number one
Usemi sina