Harmonize
Wangu

[Intro: Marioo & Harmonize]
Yeah
Yow, yow, (Hehe)
(Coughs)
Bomboclaaa-, (Hehe)
Aah-ah
Kutoka, haloo

[Verse 1: Marioo]
Kama utani moyoni ameingia
Na mi nimeshazama
Tulikutana TikTok ndio mwanzo kufahamiana
Mara ghafla, bin vu!
Kila kitu tunaendana
Ameninasa ka ulimbo
Sitaki acha kumtazama, weeh

[Pre-Chorus: Marioo]
Penzi mbona limenoga
Tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika
Kama maji ya bomba
Penzi mbona limenoga
Tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika
Kama maji ya bomba
[Chorus: Marioo]
Asa nataka wajue unanipenda 'niite, "Baby"
(Baby wangu)
Kwa wasio amini we ni wangu 'niite, "My"
(My wangu)
Hata ukiniposti caption andika "Sweetie"
(Sweetie wangu)
Wakija kukutongoza waambie 'mi na mpenzi, hey
(Mpenzi wangu)

[Bridge: Harmonize]
Mh-mh
Uh...
Konde Boy call me number one

[Verse 2: Harmonize]
Muombe Mungu uzima
Tatizo la mapenzi kanituma mimi
Nikupe...
Ni kupende
Iwe madimbwi, milima
We fly any weather
Wa ubani ndio mimi wa upendo
Nikupe... (Mh-mh)
Ni kupende
Muoga wa ku-cheat, ndio huwezi
Ya uongo ndio kabisa siwezi
Nalikizama unao tamba ni mwezi
Nakuposti wajue sijiwezi baby
[Hook 1: Harmonize]
Ona, penzi mbona limenoga
Tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika
Kama maji ya bomba
Penzi mbona limenoga
Tamu kuzidi hata soda
Penzi mbona linamwagika
(Ah, doh)
Kama maji ya bomba

[Post-Chorus: Harmonize & Marioo]
Mi nataka wajue kama unanipenda 'niite, "Baby"
(Baby wangu)
Na kama ukiniposti Snapchat 'niite, "My"
(My wangu)
You're my one and only, my love, my sweetie
(Sweetie wangu)
Wakija kukutongoza wajibu 'wewe unaye mpenzi
(Mpenzi wangu)

[Outro: Harmonize]
Bomboclaaa-