Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Soundboy
Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Eyoo lizer
Pesa ya kusuka...
Na simu kali
Ama unataka Duka...
Au ka gari...
Ama wapenda kuzunguka
Twende nchi za mbali...
Ila Beba mafuta
Huko kuna baridi kali...
Mtu mzima naitwa babe
Hela ina balaa hela
Mvi hazionekani
Hela ina balaa hela
Mubaba naitwa babe
Hela ina balaa hela
Uzee hauonekani
Hela ina balaa hela
Kweli nakitambi okonko je utanipa!?
Ntakupa!!!
Sura mbaya ila na hela je utanipa
Ntakupa!!!
Mi mubabab, Miaka mia saba
Ntakupa!!!
Ukiletaga, Nazivunja chaga...
Ooh, hatuongei...
Utashoboka mwenyewe...
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe...
Hatutongozi we leta namba mwenyewe...
Huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe...
Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Masharobaro kazi kukipodoa hela twahonga sisi...
Ma slay queen wanatulilia ka mfupa kwa fist...
Wanapenda tiketi za Dubai na wengine Paris...
Tukiingia bar macho kodo si wanataka pipi...
Ma rang ekuhonga hatuogopi...
Aah hatuna baya
Dada kapuku anageuka boss
Aah hatuna baya
Ufanye siri siri wife mkorofi...
Piga picha mkono sura usi nipost...
Mtu mzima naitwa babe
Hela ina balaa hela
Mvi hazionekani
Hela ina balaa hela
Mubaba naitwa babe
Hela ina balaa hela
Uzee hauonekani
Hela ina balaa hela
Kweli nakitambi okonko je utanipa!?
Ntakupa!!!
Sura mbaya ila na hela je utanipa
Ntakupa!!!
Mi mubabab, Miaka mia saba
Ntakupa!!!
Ukiletaga, Nazivunja chaga...
Ooh, hatuongei...
Utashoboka mwenyewe...
Meza imenoga vinywaji we jisogeze ulewe...
Hatutongozi we leta namba mwenyewe...
Huduma tutazokupa wiki utaomba uolewe...
Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Wababa
Sindo Wababa
Wababa
Ila trapendwa na vidada
Nipe uno la wazee, lakipedeshee
Nipe uno la wazee Watoto wazuri wakushobokee
Nipe uno la wazee lakipedeshee
Nipe uno la wazee watoto wazuri tu wakushobokee
Mmmh nipe uno la wazee
Lile lakipedeshee
Yani uno la wazeee
Pisi kali tu zikushobokee
Nipe uno la wazee
Lakipedeshee
Nipe uno la wazee watoto wazuri wakushobokee