Woh
Eh Mbeya city boy
RayV vanny boy, ha ha Aiyolizer
Can you just rap just a little bit?
Bet you never saw this coming, oh yeah
Kama Zidane mpira uko kambani
Vile nawabana kama pochi ya wadada kwapani
Namwamini Mungu funga virago shetani
Joh Makini akiwa mweusi Baraka tumwite nani
Ah ah kwenye beat nateleza
Japo sijasoma nachana hadi kiingereza
Good morning! How are you!?
Men that's simple
You do it for your own but I do it for my people
Nishataambika, wala sikusikika
Wakalashika sahani, nikakosa niliepika
Sasa mambo yamejipa kila kitu uhakika
Nanenepa wasafi kupiga selfie na Tiffa
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Naitwa Rayvanny boy V vanny langu jina
Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina
Sijatoboa sikio sijui piko wala ina
Tattoo ya kazi gani ngozi taa ilishazima
Visilani, walokesha kupigapini
Hawaamini nikipita wanaomba picha na mimi
Zamani mademu walinipiga chini saizi wananisumbua wao
Ray jibu langu lini?
Heshima kwa watabiri walosema nitafeli
Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli
Sa mi Wasafii
Kuku kapona kidedi
Ukisikia birthday basi tukutane sheri
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (yoh) sugu sugu sugu
Niitе Ray Sugu
Sungura mla dubu
Vipi mama wa kambo ona linatema gubu
Mafuta na mashudu
Kipi unahusudu
Vunja kibubu isije kuwa mchelе ama gubu
Nafurahi kuona matusi ya wanaonipinga
Waloninyima jero pindi napiga mizinga
Sasa nawapa kero zamu yao kuzinga
Tale kanipa mila msishtuke nikivimba
Uswazi ndiko nakotoka
Sista du onyo kushoboka
Sitakuonga iPhone nitakuonga goroka
Simu ya kitochi ukacheze gemu la nyoka
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu sugu sugu sugu
Rayvannny boy
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu (nani?)
Wananiita sugu sugu sugu sugu