Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Iii eeh
Chuii eeh
Vanny boy
S2kizzy bab
Hivi unaakili wewe zinacharge kweli
Yani uko na bebe inaminyama
Tukuachia mwenywe
Hivi unaakili wewe zinacharge kweli
Yani uko na bebe inaminyama
Tukuachie mwenywe
Hivi unaakili wewe zinacharge kweli
Yani uko nadanga linamiela tukuachie mwenyewe
Hivi unaakili wewe zinachargе kweli
Yani uko na danga linamiela tukuachie mwеnyewe
Eeeh
Eeh
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Shoot kila kitu watuone
Tunavo kula bata iwachome
Sisi sio level zao watuone
Bado wananuka maziwa watoto wa waganyoni
Sisi awoo
Eeeh sisi awo
Sisi awo sio wengine ni sisi awoo
Sisi awoo
Eeeh sisi awo
Sisi awo sio wengine ni sisi awo
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Raha kulewa mbele ya maex zako
Shoot kila kitu watuone
Tunavo kula bata iwachome
Sisi sio level zaoo watukome
Bado wananuka maziwa watoto wakanyonye
Sisi awoo
Eeeh sisi awo
Sisi awo sio wengine ni sisi awo
Sisi awo
Eeeh sisi awo
Sisi awo sio wengine ni sisi awo