Rayvanny
One Day Yes
Sidanganyi mnapendezana., naona umejipata
Umejipata
Anakuita honey mmefanana utasema mapacha
Ooh mapacha nnnhh
Najaribu kukusahau mwendeleee hataka
Umenikosea, nikusameh. Kumbukumbu kichwani
Ipotee labdha na mm nitapendwa one day


Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapemzi yanauma. Moyo
Umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwanguuuuuu

One day yes, one
One day yes. One day yes
Nitapata wa kwangu
One day yes. One day yes
One day yes
Na mimi nitapendwa

Unavonisema vibaya ivi unadzani siskiii
Mnavyopost kunikomoa ivi unadzani sioni
Moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii
Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na b. P
Najipa moyo mchana na usiku kwa haya
Maumivu yatageuka njoziiiiiiiiiiiiiiii
Najipaaaa moyooooo itafika siku nitapa
Wangu wee atanifuta machoziiiiii

Najaribu kukusahau mwendeleee
Hataka umenikosea nikusameh
Kumbukumbu kichwani ipotee
Labdha na nitapendwa one day
Kweli wivu ninao na roho inauma
Japo najikaza ila mapemzi yanauma
Moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
Naona mmependana bora nikae pembeni
Nisubiri wa kwanguuuuuu


One day yes, one
One day yes. One day yes
Nitapata wa kwangu
One day yes. One day yes
One day yes
Na mimi nitapendwa