[Intro]
Uuuuuu
Wanaweweseka hao!
Wanaweweseka hao!
[Verse 1]
Wenye wivu wasijinyonge
Ila wapigwe shoti wafe
King'asti wangu yuko hapa hapa
Usinishike bega niache
Nakupa yote mung'unya, utamu wa pipi mate
Baby, kwa mapenzi uko chuo
Hauko tena kindergarten
[Bridge]
Marashi ya Pemba
Amechanganya na Tanga huyu
Mtoto kama Saida Karoli
Anavyochambua karanga...
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda...
L.O.V.E. (I love you) kama Kassim Mganga...
[Pre-Chorus]
Presha inapanda, presha inashuka
Wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba Insta patachafuka
Watatamani kuhack waje kufuta hao...
Leleleeeeee
[Chorus]
Wanaweweseka hao! (wanakopa bando, watuperuzi)
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi)
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
Wanaweweseka hao!
[Verse 2]
Ndege, tausi, maringo na tegeeee
Umbo kifusi, nyuma kishindo...
Nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo...
Sitaki rede, ninabunduki na weka lindo...
Udongo gani, ulo kufinyanga mwali wewe?
Mganga gani, alopiga manyanga mwali weee?
Majungu simtaji (ayayayaaa)
Maneno sio radi (ayayayaaa)
Jasho linawatoka maji (I love you daddy)
[Bridge]
Marashi ya Pemba
Amechanganya na Tanga huyu
Mtoto kama Saida Karoli
Anavyochambua karanga...
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda...
L.O.V.E. (I love you) kama Kassim Mganga...
[Pre-Chorus]
Presha inapanda, presha inashuka
Wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba Insta patachafuka
Watatamani kuhack waje kufuta hao...
Leleleeeeee
[Chorus]
Wanaweweseka hao! (wanakopa bando, watuperuzi)
Wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi)
Wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
Wanaweweseka hao!