Rayvanny
Tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto

Kamenitekenya kamenigusa kunako (Eeh kunako)
Kanitekenya kamenipofua macho (Eeh macho)
Kanafanya makusudi kama hakataki pipi (Dori dori)
Kanafanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (Torori rori)

Kanitekenya
Kanipandisha midadi, nikimuona beki hazikabi, Kanitekenya
Moyo mpasuko radi, mapigo mbio bila ya idadi, Kanitekenya
Shepu lake la nicki minaji, mtoto ananimalizia mtaji, Kanitekenya
Akili kwake hazichaji, natapa tapa kama mfa maji

Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya

Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya
Kamenitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto
Kanitekenya tekenya katoto
Kamenitekenya tekenya katoto

Vanny Boy
Nikikatekenya kanatekenyeka
Yaani, kanacheka cheka
Kamenitekenya kanavyo tetemesha
Wami kitonga Sekenke na Sereleka

Tekenya
Mikono juu ka ana mabawa, Tekenya
Upepo sukuma ngalawa, Tekenya
Ukizungusha mama napagawa, Tekenya
Hadi birika lamwaga kahawa

Uki kaaaaati ka kigugumizi
Maasai kanipa dawa nishatafuna mizizi
Wani kaaatisha kichizi chizi
Yaani natapa tapa nashindwa kupiga mbizi

Pinda mgongo ukunje mikono
Twende taratibu kama konono
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kama mbuzi kagoma kwenda
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Kizombi nimetoka milenda kanitekenya

Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenishika kwenye paja, tekenya
Namtajataja, tekenya

Teke tekenya, tekenya
Kaniteke tekenya, tekenya
Amenigusa kwenye kwapa, tekenya
Yaani mara huku mara hapa, tekenya

Pinda mgongo Kishingo weka juu
Kunja na mikono kama kangaroo
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo

Kama umejinyonga unaning’inia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo

Fanya waibuka unazamia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo
Paramia ukuta chungulia
Kuku kishingo shingo
Kuku kishingo

Yaani nyatu nyatu
Na nyatia