Rayvanny
Corazon

[Verse 1 : Abigail Chams & Rayvanny]
Hivi nikuite fundi, mkufunzi wataka jina gani
Umejifunzia Pemba, Mombasa au ni Tanga kunani
Ooh, wakosi vumbi, siyumbi yani niko tahabani
Mama panda mtungi, tuende Nungwi, kupitia Kitanda
Ooh, taa-tamu tamu, penzi tamu tamu
Tukipeana, zamu zamu baba eeh
Taaa-tabasamu, haliinishia
Murembo umechanganya, na nidhamu
Mama eeh

[Pre Chorus : Abigail Chams & Rayvanny]
Nikupe spaghetti (Nataka chocolate)
Ama tule baguette (Tukienda dinner date)
So can we make a bet? (Tonight we won’t get rest)
A night you won’t forget (I’m gonna make you sweat)

[Chorus : Abigail Chams]
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ooh ladidadidadida)
Corazon (ladidadidadida, ladidadidadida)
Corazon

[Verse 2: Abigail Chams & Rayvanny]
Aate, aate (Aate)
Aate, aate (Aate)
Mbona niliowaacha eh
Wananimezea mate
Ohh pete pete (Petе)
Nitaionesha kokote (Petе)
Wajue mi ni mali ya mtu
Wasiya mezee mate
Umenituliza, me and your
Kupendwa nawe raha
Chonde ifunge zipu, ooh
[Bridge : Abigail Chams & Rayvanny]
Matamu, matamu
Mapenzi matamu
Ukimpenda, anakupenda
Jamani matamu