Rayvanny
Slow (The Big One)
[Verse 1 : Rayvanny]
Hivi hujioni baby
Ulivyoumbika na unavyoita
Hujioni baby
Yani hata bila filter unavyomulika
Hujioni baby
Au ndo hupendi sifa za kujivimbisha
Hujioni baby
Vile umekamilika
[Bridge : Rayvanny]
Mama unanipa sukari
Nimekubali
Utamu
Kama asali
Mama unanipa sukari
Nimekubali
Utamu
Ni wa hatari
[Chorus : Rayvanny]
Jamani huyo ndio baby (mnamuonaje)
Shemeji yenu (mnamuonaje)
Mwenzenu ndo nimefika hapo (mnamuonaje)
Shemeji yenu (mnamuonaje)
Si nimejua kuchagua (mnamuonaje)
Semeni kweli (mnamuonaje)
Jamani huyo ndo wangu (mnamuonaje)
Baby (mnamuonaje)
Slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Whine it slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Whine it slow, slow
[Verse 2 : Jay Melody]
Upendo wako ndo unanipa wivu mpaka naogopa
Hivyo basi sitaki maumivu mi nishachoka
Akili zangu ni kama maji jikoni yanatokota
Punguza kasi njoo taratibu utanikokota
[Bridge : Jay Melody]
Jamani
Mimi umeniweza
Moyoni nilivyokubeba
Ngumu hata kujieleza
Sidhani
Kama peke yangu naweza
Kwa jinsi ulivyonikoleza
Sihitaji hata chuzi la pweza
[Chorus : Rayvanny & Jay Melody]
Jamani huyo ndio baby (mnamuonaje)
Ai shemеji yenu (mnamuonaje)
Nimejua kuchagua (mnamuonajе)
Anang'ara huyo (mnamuonaje)
Jamani huyo ndo baby (mnamuonaje)
Baby haki ya mimi (mnamuonaje)
Nimejua kuchagua (mnamuonaje)
Anapendeza (mnamuonaje)
Slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Whine it slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Slow, slow
Whine it slow, slow