Rayvanny
Usingizi

[Verse 1 : Rayvanny]
Nikuite mahabuba, honey benki ya furaha
Sweat chocolate, my sugar, one in a billion

[Pre Chorus : Rayvanny & Yammi]
Usingizi mtamu nikilala na wewe
Chakula hakipiti nsipokula na wewe
Nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
Mapenzi yanawenyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe

[Chorus : Rayvanny & Yammi]
I love you, I love you more
Kwako sijiwezi, me utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
I love you, I love you more
Kwako sijiwezi, utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa, mniache nilе zangu raha

[Verse 2 : Rayvanny& Yammi]
Meli kwenye upеpo baharini
Utulie na mimi
Upendo unavyo uthamini
Nisikupende kwanini
Nahisi uliumbwa wewe uwe na mimi
Me sikuachi niamini
Penzi ni siri yetu we na mimi
Sitaki mwingine, wanini
Ntalalama mimi
Me napendwa mimi
Me natunzwa mimi
Mungu anipe nini
[Pre Chorus : Rayvanny & Yammi]
Usingizi mtamu nikilala na wewe
Chakula hakipiti nsipokula na wewe
Nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
Mapenzi yanawenyewe
Na wenyewe ni mimi na wewe

[Chorus : Rayvanny & Yammi]
I love you, I love you more
Kwako sijiwezi, me utanitoa roho
Nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha