[Verse 1 : Rayvanny]
Mungu amenipa chenye thamani
Anawaka kama mbalamwezi gizani
Yani kama maji jangwani
Sijasahau utam utam anaonipa chumbani
Mi nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika nimetosheka
Mi nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika nimetosheka
[Bridge : Rayvanny]
Huyu huyu, chaguo langu mi ni huyu huyu
Hatuachani leo mi na huyu huyu
Wengine wanini
Oooh, huyu huyu, mseme mbaya ila huyu huyu
Nitazeeka nae mimi huyu huyu
Wengine wa nini
[Chorus : Rayvanny]
Oh mon amour, mon amour, mon amour, mon amour
Mon amour, mon amour, mon amour
Je t'aime mon amour
Mon amour, mon amour, mon amour, mon amour
Mon amour, mon amour, nakupenda mon amour
[Verse 2 : Mbosso]
Aah, nawaza Mungu angepanga
Mchana kiza, usiku jua ndo nuru
Au kama angepanga
Mi na wewe tuwe ndege kunguru
Tungeinua anga, tupae
Angani tukiwa huru
Riziki kwenye michanga
Mi nipekuwe wewe udonyoе ndunduru
Haikuwa rahisi hapa tulipofika
Umevumilia mengi, acha nikupe sifa
Upеpo wa ibilisi ulipopita
Kujaribu vunja penzi, tukaishinda vita
[Bridge : Mbosso]
Asante, asante mwalimu
Somo lako la mapenzi
Leo nimehitimu
Mi nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika nimetosheka
Mi nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika nimetosheka
[Chorus : Rayvanny]
Oh mon amour, mon amour, mon amour, mon amour
Mon amour, mon amour, mon amour
Je t'aime mon amour
Mon amour, mon amour, mon amour, mon amour
Mon amour, mon amour, nakupenda mon amour